Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,665
Wakuu kuna mtu anahitaji nyumba ya kununua iliyokwishakamilika. Yeye akishanunua ni kiasi cha kuhamia tu. Iwe maeneo ya Mbezi Beach au Bunju.
Iwe ni ya ghorofa na bei isizidi shilingi milioni 500. Kipaumbele ni atakayenitumia picha.
Onyo. Matapeli kaa mbali maana hutaweza kuniibia tena kama mlivyoniibia nilipotangaza nahitaji mpelelezi binafsi.
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app