Hapo labda unaweza ukapata chumba maeneo ya Ulongoni na sio Gomz karibu na kituo, pale wamejaa wanafunzi wa KIU. Ila kama wiki 3 zilizopita kulikuwa na mtu kaondoka pale nyuma ya Bar ya leo tena. Nenda kaulizie nyumba mitaa ile
labda bahati inaweza kuwa ya kwako.
hapo labda kwa nyuma kidogo kama mtaa mmoja upande wa stand ya Chanika au njia ya kwenda shule ya ST. Thomas ule uchochoro pale naonaga kuna vifrem vimefungwa. tafadhali do not get me wrong, mie si dalali wala sifanyi kazi hiyo, am trying to help my good people in hereMkuu kama una uzoefu maeneo hayo naweza pata frem? Ikiwa yale maeneo ya kituo cha daladala itakua poa zaidi
hapo labda kwa nyuma kidogo kama mtaa mmoja upande wa stand ya Chanika au njia ya kwenda shule ya ST. Thomas ule uchochoro pale naonaga kuna vifrem vimefungwa. tafadhali do not get me wrong, mie si dalali wala sifanyi kazi hiyo, am trying to help my good people in here