Nyumba ya kupanga inahitajika Gongo la Mboto

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,085
Reaction score
15,197
Inahitajika nyumba
vyumba 2 na sebule
isiwe mbali kutoka stand ya daladala
weka bei kabisa
 
Hapo labda unaweza ukapata chumba maeneo ya Ulongoni na sio Gomz karibu na kituo, pale wamejaa wanafunzi wa KIU. Ila kama wiki 3 zilizopita kulikuwa na mtu kaondoka pale nyuma ya Bar ya leo tena. Nenda kaulizie nyumba mitaa ile labda bahati inaweza kuwa ya kwako.
 

Mkuu kama una uzoefu maeneo hayo naweza pata frem? Ikiwa yale maeneo ya kituo cha daladala itakua poa zaidi
 
Mkuu kama una uzoefu maeneo hayo naweza pata frem? Ikiwa yale maeneo ya kituo cha daladala itakua poa zaidi
hapo labda kwa nyuma kidogo kama mtaa mmoja upande wa stand ya Chanika au njia ya kwenda shule ya ST. Thomas ule uchochoro pale naonaga kuna vifrem vimefungwa. tafadhali do not get me wrong, mie si dalali wala sifanyi kazi hiyo, am trying to help my good people in here
 

Shukran mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…