Nyumba ya kupanga Maili Moja Kibaha-Pwani

Nyumba ya kupanga Maili Moja Kibaha-Pwani

Original Pastor

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Posts
1,274
Reaction score
51
Nyumba ya kupanga maili moja Kibaha mkoa wa Pwani karibu na Shule ya msingi maili moja nyuma ya Kanisa la KKKT. Ina vi tails,fani,maji, umeme na barabara ipo mpaka mlangoni. Madirisha yake ni sita kwa sita na kumewekwa mapazia. wahi haraka kwa wale wanaotaka kuweka Gest pia mnakaribishwa Ukisoma Tangazo hili ni PM nikupe namba za Simu jinsi ya kunipata Nyumba nane ndani Vyoo vya nje vyoo titatu na bafu tatu, vyumba vya nje viwili ni masta.

Kodi Elfu Arobaini na mia mbili hamsini tu kwa mwezi lipa miezi sita ila kila miezi mitano urtatakiwa kutoa na advance hii inatokana kama ukiharibu nyumba utaondolewa mara moja. NB: nje kuna pavings na fansi imezungushwa ya matofali. Hii ni biashara kama unaona unaumiza basi watu wengine wanahitaji asanteni.

Karibuni sana wakubwa
 
Sijakupata vizuri details zako PM me nikielewa vizzuri I think I might be interested into hii kitu.
 
Back
Top Bottom