Wandugu nahitaji vyumba viwili na sebule iwe masters ktk maeneo hayo hap[o juu,na ikiwa na kajiko itapendeza zaidi.bei isizidi 200,000/= kwa mwezi.hata kama unajua ambayo itakuwepo baada ya mwezi hivi tafadhali naomba unitaarifu.
Kwa yeyote anayejua tafadhali nijulishe.
Asanteni sana kwa msaada wenu na poleni kwa usumbufu.