Outlier nyumba ya bei hiyo hutopata katika maeneo uliyoyataja,Kwa kukusaidia sana sana nyumba hiyo utaipata kuanzia shilingi laki tano hadi sita kwa maeneo husika.Bei hiyo kweli utapata nyumba lakini siyo ya sifa hizo ulizotaka.
kwanini asipate? kwani kasema anahitaji yenye vyumba vingapi? maana hata ya chumba kimoja hawezi kupata na laki 3?Outlier nyumba ya bei hiyo hutopata katika maeneo uliyoyataja,Kwa kukusaidia sana sana nyumba hiyo utaipata kuanzia shilingi laki tano hadi sita kwa maeneo husika.Bei hiyo kweli utapata nyumba lakini siyo ya sifa hizo ulizotaka.
Hapo sasa ni matata. Basi naongezea eneo lingine Kimara, bei maximum TZS 350,000/= per month, na kutoa criteria ya parking.
Unayo nini?
una bahati sana mkuu kwa bei hiyo.....Mkuu ukweli ni kuwa mwezi mmoja uliopita nilikuwa katika harakati kama za kwako,Nimelizunguka Jiji kwa vigezo na bei kama yako sikuambulia kitu.Sasa hivi nakaa Village Afrikana nyumba ya vyumba vitatu vya kulala jiko na sebule ambapo kwa mwezi nalipa sh,600,00/=,Kuna parking ta gari, na garden ya kujiliwaza.Mwenzangu ambaye tulikuwa naye masomoni Russia alipata nyumba Kimara Stop Over haina fence ina ukubwa kama yangu bila cha parking analipa shilingi laki nne na nusu kwa mwezi.Hana maji umeme upo na ni bondeni!!!!
WanaJF,
Ninahitaji nyumba ya kupanga jijini Dar.
Maeneo:
Kinondoni, Sinza, Magomeni, Kijitonyama, Mwananyamala, Mwenge
Niko tayari kulipa at most TZS 300,000/= kwa mwezi.
Muda:
As early as possible, hata kesho - nikiipenda.
Mahitaji ya muhimu:
Isiwe ya ku-share na wapangaji wengine; iwe na maji, umeme, na kama ina parking itakuwa bora zaidi.
Asanteni,
Mawasiliano yangu:
1) JF PM
2) outlier.mm@gmail.com
3) +1 240 949 2677
Outlier acha utani wewe unasema unataka nyumba hata kesho halafu unatuwekea namba yako ya simu ya Marekani/Canada! Au unamtafutia ndugu au rafiki yako aliyeko Dar? Vinginevyo hamishia post yako kwenye jokes.
Asante, lakini Mbagala - hapana.Kuna nyumba nzuri sana maeneo ya Mbagala Kuu, haikupata madhara yoyote wakati wa mabomu, ina eneo kubwa la paking pamoja garden ya nguvu. Inafikika kwa urahisi, lami mpaka getini. Bei inakaribia na uliyoihanisha, vipi unasemaje?
Mkuu ukweli ni kuwa mwezi mmoja uliopita nilikuwa katika harakati kama za kwako,Nimelizunguka Jiji kwa vigezo na bei kama yako sikuambulia kitu.Sasa hivi nakaa Village Afrikana nyumba ya vyumba vitatu vya kulala jiko na sebule ambapo kwa mwezi nalipa sh,600,00/=,Kuna parking ta gari, na garden ya kujiliwaza.Mwenzangu ambaye tulikuwa naye masomoni Russia alipata nyumba Kimara Stop Over haina fence ina ukubwa kama yangu bila cha parking analipa shilingi laki nne na nusu kwa mwezi.Hana maji umeme upo na ni bondeni!!!!
Siku hizi, no in fact long time - simu ziko roaming! Unaishi wapi wewe? Mtu aweza kuweka namba ya Kenya hapa na akawa yuko Mbagala!Outlier acha utani wewe unasema unataka nyumba hata kesho halafu unatuwekea namba yako ya simu ya Marekani/Canada! Au unamtafutia ndugu au rafiki yako aliyeko Dar? Vinginevyo hamishia post yako kwenye jokes.
Watakuwa madalali wamewaingiza mjini kwa "ugeni" wenu! Anyways, ngoja niendelee kuulizia, nina washkaji wanakaa comfortably maeneo hayo kwa TZS 200,000/= plus
Asante, lakini Mbagala - hapana.
Wasikutishie mkuu....maeneo yaleyale unayoyataka utapata nyumba ya bei ile ya 300k.....jamaa zangu kibao wanakaa maeneo hayo kwa kodi za kati ya 180 hadi 250 kwa mwezi tena na parking zipo (baadhi)!
Siku hizi, no in fact long time - simu ziko roaming! Unaishi wapi wewe? Mtu aweza kuweka namba ya Kenya hapa na akawa yuko Mbagala!
Usijali, lukuvi kasema hamna mabomu tena!
Nakuhaikishia kwa niaba ya Mkuu wa majeshi kuwa kama unaogopa mabomu, yamekwisha. Yale madogomadogo wananchi waliondoka nayo yote. Na barabara hivi sasa iko tupu kabisa hakuna foleni maana wakazi wote si unajua makazi yao yalihamishwa kidizaini?
Karibu Mbagala Kuu, serikali yako itakulinda ondoa hofu kabisa.
Unahitaji nyumba kwa muda gani (mwaka, miaka ama miezi)?. Maana kuna nyumba za kupangisha kwa muda mfupi tokana na wenye nyumba kusafiri na nyumba ziko tupu kwa kipindi kifupi na wangependa kupata chochote kipindi hicho kifupi. Na pia ni bora ukasema unataka nyumba vyumba vingapi?.
Unajua roaming hutumika na mtu anayetembelea nchi fulani na hakai muda mrefu kwa sababu ni ghali mno. Sasa kwa mtu uliye TZ na umeamua kukaa TZ na bado unaendelea na roaming basi wewe ni milionea. Mwaka jana nilikuwa Ujerumani nikawa na roam na Vodafone, nikipigiwa simu Vodacom TZ walikuwa wananilipisha Shs. 480 kwa dakika na nikipiga sh. 5,000 ilikuwa inaisha kwa dakika 2. Anyway si malumbano it is your choice my friend.