wanajf,
ninahitaji nyumba ya kupanga jijini dar.
maeneo:
kinondoni, sinza, magomeni, kijitonyama, mwananyamala, mwenge
niko tayari kulipa at most tzs
300,000/= kwa mwezi.
Muda:
As early as possible, hata kesho - nikiipenda.
Mahitaji ya muhimu:
Isiwe ya ku-share na wapangaji wengine; iwe na maji, umeme, na kama ina parking itakuwa bora zaidi.
Asanteni,
mawasiliano yangu:
1) jf pm
2)
outlier.mm@gmail.com
3) +1 240 949 2677