Nyumba ya kupanga yahitajika

Nyumba ya kupanga yahitajika

mambo vipi nasubiri simu yako. namba yangu hii hapa. 0717114409. nyumba bado haijapangishwa. hivi sasa nipo city centre.
 
wanajf,

ninahitaji nyumba ya kupanga jijini dar.

maeneo:
kinondoni, sinza, magomeni, kijitonyama, mwananyamala, mwenge

niko tayari kulipa at most tzs 300,000/= kwa mwezi.

Muda:
As early as possible, hata kesho - nikiipenda.

Mahitaji ya muhimu:
Isiwe ya ku-share na wapangaji wengine; iwe na maji, umeme, na kama ina parking itakuwa bora zaidi.

Asanteni,

mawasiliano yangu:
1) jf pm
2) outlier.mm@gmail.com
3) +1 240 949 2677
knyama ipooo...2bedrooms, jiko, sebule, spacious parking with good security..

Mkataba unaanza july 2009

bei 300,000/= hakuna punguzooooo...

Tuwasilianee
 
Back
Top Bottom