jerrytz
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 5,975
- 4,266
wadau, hasa wanaoishi Zanzibar naomba msaada wenu,
Nitakuwa Zanzibar kikazi kwa mwaka mmoja kuanzia mwezi wa sita.
Natafuta Nyumba ya kupanga 2 Bedrooms ikiwa master room ni vyema zaidi, Sitting room na jiko.
Kama itakuwa ngumu kupata basi walau 1 master bedroom, sitting room na jiko.
Ningependa maeneo ya Stone Town, Malindi, Mlandege na Vikokotoni kwa kifupi Wilaya ya Mjini
Mwenye taarifa tafadhali ni PM......
Naomba kuwasilisha