Nyumba ya kupanga Zanzibar mjini

Nyumba ya kupanga Zanzibar mjini

Salaam!

Wakuu nami natafuta nyumba ya kukodi zenji naomba msaada wenu......washukran
 
Ok,Mkuu unajua nimepiga Viroba vya chukuchuku.

Mie kukusaidia kwangu ni kukupa Number ya Dalali,
Jamaa yupo vizuri,ni wewe tu kuandaa usafiri akupeleka sehem zote.
Na unajua Madalali wa Unguja sio kama wa Dar,hawacharge site inspection,ukpata nyumba unampa chake na wala sio kiasi maalum,chochote tu wao wanapokea.
Haya sema
Nahitaji namba
 
Back
Top Bottom