Angalia hiyo kama itakufaa ila iko maeneo ya Fuoni,
1.Sitting room
2.Dining
3.2bed rooms
4.Master bedrooms 1
5.jiko,store,parking kwa gari ndogo.
Bei Tsh 100,000/= kwa mwezi

Mkuu wewe ulisema utakuwa kikazi mwezi wa sita leo wa kumi vipi.
Au umefukuzwa nyumba ya mwanzo.
Sidhani kama utaikuta nyumba hiyo kwa bei ile,maana madalali kibao.
Sema unataka maeneo mengine gani kama haipo nikuunganishe na Dalalii sasa hivi muanze kuzuunga
Alaa,aisee michenzani kama vitundu vya njiwa,si mind nyumba hizo?Mimi nilishapata Michenzani, huyu ni mwingine.
Mkuu wewe ulisema utakuwa kikazi mwezi wa sita leo wa kumi vipi.
Au umefukuzwa nyumba ya mwanzo.
Sidhani kama utaikuta nyumba hiyo kwa bei ile,maana madalali kibao.
Sema unataka maeneo mengine gani kama haipo nikuunganishe na Dalalii sasa hivi muanze kuzuunga
Mkuu wewe ulisema utakuwa kikazi mwezi wa sita leo wa kumi vipi.
Au umefukuzwa nyumba ya mwanzo.
Sidhani kama utaikuta nyumba hiyo kwa bei ile,maana madalali kibao.
Sema unataka maeneo mengine gani kama haipo nikuunganishe na Dalalii sasa hivi muanze kuzuunga
Ok,Mkuu unajua nimepiga Viroba vya chukuchuku.Nadhani umekosea mimi ni mwingine nahitaji nyumba Zanzibar unaweza kunisaidia
Alaa,aisee michenzani kama vitundu vya njiwa,si mind nyumba hizo?
Ngoja jamaa atakuja kama nyumba bado ipo atakupa mjengo .
Mbona hapo michenzani kibarazani madalali kibao,ukitaka nyumba hata leo wanakutafutia
Ok,Mkuu unajua nimepiga Viroba vya chukuchuku.
Mie kukusaidia kwangu ni kukupa Number ya Dalali,
Jamaa yupo vizuri,ni wewe tu kuandaa usafiri akupeleka sehem zote.
Na unajua Madalali wa Unguja sio kama wa Dar,hawacharge site inspection,ukpata nyumba unampa chake na wala sio kiasi maalum,chochote tu wao wanapokea.
Haya sema
Angalia hiyo kama itakufaa ila iko maeneo ya Fuoni,
1.Sitting room
2.Dining
3.2bed rooms
4.Master bedrooms 1
5.jiko,store,parking kwa gari ndogo.
Bei Tsh 100,000/= kwa mwezi
Hay mpigie huyu .
Anaitwa Omar(Mzee Omar),ni age inatoka ujana inakwenda uzeeni,ila ni mtu safi sana utakuja kuniambia.
Labda wewe mwenye uwe mtata kutaka makubwa wakati mfuko mdogo.
0773536763
Huyu mambo ya JF hayajui,sasa ukimuambia nimepewa number yako na mtu kwenye JF atakuuliza ndio mkoa gani huo.
Hata Computer hajui kutumia.
Au kama upo Karibu na Maeneo ya kwa Mchina Mwanzo ,basi ukiulizia pale Shule ya SHAH upande wa pili chini ya mwembe basi utampata,ila muda mwingi anakuwa yupo Busy,unaweza kukuta watu wakakuambia ameishakufa ili kazi uwape wao.
Haya kazi kwako
Angalia hiyo kama itakufaa ila iko maeneo ya Fuoni,
1.Sitting room
2.Dining
3.2bed rooms
4.Master bedrooms 1
5.jiko,store,parking kwa gari ndogo.
Bei Tsh 100,000/= kwa mwezi
kaka hii nyumba bado ipo? kama ipo nitafute 0777830185Angalia hiyo kama itakufaa ila iko maeneo ya Fuoni,
1.Sitting room
2.Dining
3.2bed rooms
4.Master bedrooms 1
5.jiko,store,parking kwa gari ndogo.
Bei Tsh 100,000/= kwa mwezi
kaka hii nyumba bado ipo? kama ipo nitafute 0777830185