Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hujasema iweje iyo nyumbaHabari wana Jf.
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo yafuatayo
-Kimara
-Mbezi zote
-Africana mpaka bunju
-Goba
Budget yangu maximum ni 250,000/=
Mwenye nyumba maeneo hayo aje Pm yutajenge.
dalali anakuja kupata laki mbili na nusu bila jashoHapa ndipo ninapoonaga pesa ya udalali haina jasho
Umeona kijana,yaani kazi yako kubwa ni kumtembeza tudalali anakuja kupata laki mbili na nusu bila jasho
tena akikutembeza anapata elf 15 hadi 20 na anakupeleka sehemu zingine wakati anajua kabisa hakuna kituUmeona kijana,yaani kazi yako kubwa ni kumtembeza tu
Sebule, Jiko, Public toilet na vyumba viwili vya kulala kimoja kiwe master.hujasema iweje iyo nyumba