Masiihid Dajjaal Member Joined Oct 18, 2018 Posts 9 Reaction score 7 Sep 25, 2019 #1 Kuna mpangaji mwenzangu eti ameenda polisi kushtaki ameibiwa millioni 5, watu wengine waongo kweli hela yenyewe ilikuwa laki 7 tu! Na sirudishi senzi😝
Kuna mpangaji mwenzangu eti ameenda polisi kushtaki ameibiwa millioni 5, watu wengine waongo kweli hela yenyewe ilikuwa laki 7 tu! Na sirudishi senzi😝
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Sep 25, 2019 #2 Alimaanisha 5m pamoja na riba ya hiyo 700k
ikh libe Senior Member Joined Apr 17, 2019 Posts 176 Reaction score 218 Sep 25, 2019 #3 Dah mkuu vyuma vimekaza
Masiihid Dajjaal Member Joined Oct 18, 2018 Posts 9 Reaction score 7 Sep 25, 2019 Thread starter #4 mbaga jr said: Alimaanisha 5m pamoja na riba ya hiyo 700k Click to expand... imekula kwake
Igombe fisherman JF-Expert Member Joined Apr 28, 2017 Posts 2,178 Reaction score 3,865 Sep 25, 2019 #6 Leta tugawane laah sivyo naunguza utambi, nachomoa betri usiponipa hata kakilo ka balimi
B billsoa Member Joined Jan 3, 2018 Posts 12 Reaction score 11 Sep 25, 2019 #8 Mimi kama mwenyekiti nakula 4 afu inayobaki itakuwa yako njoo pm[emoji109][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji709][emoji709]
Mimi kama mwenyekiti nakula 4 afu inayobaki itakuwa yako njoo pm[emoji109][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji709][emoji709]
M MWANAKA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2013 Posts 4,887 Reaction score 4,435 Sep 25, 2019 #9 Duh du umetisha kijana
G_real JF-Expert Member Joined Aug 23, 2019 Posts 684 Reaction score 855 Sep 25, 2019 #10 aha kumbe wewe ndo umeiba pesa yangu