Nyumba ya kupanga!

Nyumba ya kupanga!

angomwile

Senior Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
153
Reaction score
81
Jamani wakuu mwenzenu nimechoka na hii nyumba,yaani kuna jamaa wa chumba cha pili ikifika mida fulani usiku wakati wanakula tunda wanaanza mikelele nyumba yenyewe haina dari, sijui nfanyeje
Mchango wenu wadau!
 
ckupatii nega hayo mabao unayojipiga peke yako hapo room wakati wenzio wakifaidi
 
sielewi kwa nini but uswazi kuishi ni tabu mno....

wengine wanapigana kwanza,mataka kugonga muwaa mulie kumbe wameshaanza mechi....aaahhh lol
 
Kwani hiyo nyumba umepewa bure mpaka uteseke hivyo? tafuta ingine hama.
 
Kila mtu ana haki yake kodi hujamlipia we endelea na punca 2!
 
Jamani nshalipa kodi ya mwaka kuhama itakuwa ishu.
 
tafutaa wako na wewee uwee unalipaa mapigo,iwe ngomaa droo wakianza na wewee unaanza,au fungulia redio au tv usiwee una constrate kusikilizaa wezako wakila apple.utakuwa unaumiaaa
Jamani nshalipa kodi ya mwaka kuhama itakuwa ishu.
 
mwambien mwenyenyumba aweke dari mbona shughuli mjomba hiyo kitu inatesaga nimeishi mimi
 
mwambien mwenyenyumba aweke dari mbona shughuli mjomba hiyo kitu inatesaga nimeishi mimi
kwa nini kapanga nyumba isiyo na dari,......anyway pole sana nkulumba angomwile
 
Uwenikumbusha majengo sec Moshi f.6 watu 3 tulipanga nyumba haikuwa na dari upande wa kulia kulikuwa na familia na kushoto msela na demu walikuwa hawajali chochote wakilimana,sisi ni kuparamia ukuta umeungnisha meza na kiti ,ilikuwa tunaamua kuchabo kwa mwenye family au msela live bila chenga wenyewe walisha sema hata tukichungulia hamna jipya.
 
Maaatesoooo, maa teeesoooo maatesoooo yamezidi najuuuutaaaa!!
 
Back
Top Bottom