Nyumba ya kupanga!

Nyumba ya kupanga!

Ongeza bidii kwenye mihangaiko yako ya kutafuta pesa angalao ujenge nyumba yako mwenyewe
au ukapange kwenye nyumba za kistaarabu.
 
Tafuta mpangaji umpangshe wewe then nshaa la svyo utageuka chongo kijicho kimoja
 
Jamani wakuu mwenzenu nimechoka na hii nyumba,yaani kuna jamaa wa chumba cha pili ikifika mida fulani usiku wakati wanakula tunda wanaanza mikelele nyumba yenyewe haina dari, sijui nfanyeje
Mchango wenu wadau!

hahahahahahaa thatha wewe unataka tukushauri nin thatha kodi umelipa mwaka mzima dem huna minyege imekujaa kibao angalia oohooo??

Kama huna dem tafuta kidume kikushughulikie basi.

Ushauri mzuri xana huu hapa nunua sabufa kwa kuwa nyumba haina dari funga speker juu ya mbao za kenchi na zielekezee kwake tafuta cd moja matata ya x tena tafuta wanayokulana tigo wew ukifika tu geto unaifungulia sauti mpaka mwisho awe ameanza mechi hajaanza hata kama iwe mchana ana wageni wake wa heshima wewe ni mwendo huo huo kwa kwenda mbele uone kama hata jilekebisha.
Ukiona hiyo haija mkomesha wew ni PM nikupe hiyo nyingine funga kazi hiyo ukiipiga lazima ahame mpaka nyumba.Dawa yake mi nnayo na ni ndogo xana.Wala asikusumbue brain hata kidogo
 
Mkuu Lege umemaliza kabisa, mm wakati bado napanga yalinikuta, nilitafuta Blue Print moja ya kibongo kali nikawa na-play kila mara wakianza vitu vyao, mpaka walipo niomba nipunguze sauti namimi nikawaomba wapunguze, ngoma ikawa droo.
 
Wengine wanafunga mapazia yanayoangaza ukipita nje unaona vivuli vya shughuli nzima
 
Back
Top Bottom