Rich Dad JF-Expert Member Joined Dec 15, 2010 Posts 748 Reaction score 135 Dec 20, 2010 #1 Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kijitonyama au sinza. Iwe 2 bedrooms, 1 sitting room, bei Tshs 150,000 kwa mwezi na kwa kuanzia malipo ya miezi 6 yatalipwa. kama unayo tafadhali nijulishe.
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kijitonyama au sinza. Iwe 2 bedrooms, 1 sitting room, bei Tshs 150,000 kwa mwezi na kwa kuanzia malipo ya miezi 6 yatalipwa. kama unayo tafadhali nijulishe.