Nyumba ya Kupangisha Kigamboni – Vyumba 2 (Master Moja), Eneo Safi na Salama

Nyumba ya Kupangisha Kigamboni – Vyumba 2 (Master Moja), Eneo Safi na Salama

Joined
Aug 26, 2025
Posts
2
Reaction score
2
Ninapangisha nyumba mpya na ya kisasa iliyopo Kigamboni, Mtaa wa Saranga – Kata ya Ungindoni.
➡️ Umbali: takriban 1 Km tu kutoka Barabara ya Daraja la Mwl. Nyerere – hivyo kufika katikati ya Jiji la Dar es Salaam ni rahisi sana.

Sifa za nyumba:
🏡 Vyumba 2 vya kulala (kimoja ni master)
🛋️ Sebule kubwa na yenye nafasi
🍳 Jiko lenye makabati
🌬️ Balcony yenye upepo mzuri
🚗 Parking ya gari
💧 Maji bure
⚡ Umeme LUKU
🛡️ Fence ipo – usalama umezingatiwa

Faida za eneo:
✔️ Sehemu tulivu, majirani wa kuelewana
✔️ Barabara inapitika wakati wote
✔️ Karibu na huduma muhimu (duka, shule, hospitali)

💰 Bei ya pango: TSh 600,000/= kwa mwezi
🔑 Malipo: kwa miezi 6

Mawasiliano:
📞 +255 741 001 000
📍 Ofisi: Mwananyamala Komakoma Bus Stop, Jengo la Jannat Plaza, Ghorofa ya Kwanza – Mwinjuma Road

IMG-20250826-WA0370.jpg
 
Back
Top Bottom