Nyumba ya kwanza ya "City Park Audiobook House" katika Mkoa wa Henan, China yazinduliwa

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Tarehe 9 Juni 2022 "Nyumba ya Kitabu cha Sauti ya City Park" ilizinduliwa katika bustani ya umma ya Zhengzhou mkoani Henan, yenye zaidi ya vitabu 16,800, na wakazi wa huko wanaweza kusikiliza vitabu hivyo bila malipo.


 
Sawa
Hapa Tanzania Nadhani Zanzibar Itakuwa Hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…