Nyumba ya makontena yenye sebule, chumba cha kulala, ofisi ndogo, jiko, choo na bafu inahitaji makoñtena mangapi?

Habari wakuu,

Kama kichwa kinavosema nahitaji kujenga nyumba ya kontena yenye sebule, chumba cha kulala, jiko, ofisi, choo na bafu.

Je, kwa idadi ya hivo vyumba nahitaji makontena mangapi na ningependa kujua gharama za kontena moja?

Asanteni!!!
Andaa 20M ya Container 4 kisha 20 nyengine ya maboresho na ufundi.
 
Habari wakuu,

Kama kichwa kinavosema nahitaji kujenga nyumba ya kontena yenye sebule, chumba cha kulala, jiko, ofisi, choo na bafu.

Je, kwa idadi ya hivo vyumba nahitaji makontena mangapi na ningependa kujua gharama za kontena moja?

Asanteni!!!
Kwa hali ya hewa ya Tanzania ukijenga nyumba ya kontena Dar utaiva kwa Joto,ukijenga nyumba ya kontena mikoa ya baridi utaganda kwa baridi.

Ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom