Mjinga sana mimi
Member
- Aug 18, 2022
- 96
- 331
Shukran mkuuContena moja used ni kuanzia 1ml to 2ml hapo utaitaji zle kubwa mbili au kama Ni zle ndogo n nne ujenzi mwema
Yana gharama kumbeContena ya futi 40 ni kuanzia 5,000,000/=
Na yana nyaraka za umiliki kama gari. Kama unawaza kutumia contena kukwepa gharama za ujenzi wa tofali achana na huo mtazamoG
Yana gharama kumbe
2ml labda kama ni container la MDF 😁😁😁 yani hio bei hata container chakavu la 20Ft huwezi kulipataContena moja used ni kuanzia 1ml to 2ml hapo utaitaji zle kubwa mbili au kama Ni zle ndogo n nne ujenzi mwema
Andaa 20M ya Container 4 kisha 20 nyengine ya maboresho na ufundi.Habari wakuu,
Kama kichwa kinavosema nahitaji kujenga nyumba ya kontena yenye sebule, chumba cha kulala, jiko, ofisi, choo na bafu.
Je, kwa idadi ya hivo vyumba nahitaji makontena mangapi na ningependa kujua gharama za kontena moja?
Asanteni!!!
Hio Ni Bei ya kontena za mabox labda.Contena moja used ni kuanzia 1ml to 2ml hapo utaitaji zle kubwa mbili au kama Ni zle ndogo n nne ujenzi mwema
Kwa hali ya hewa ya Tanzania ukijenga nyumba ya kontena Dar utaiva kwa Joto,ukijenga nyumba ya kontena mikoa ya baridi utaganda kwa baridi.Habari wakuu,
Kama kichwa kinavosema nahitaji kujenga nyumba ya kontena yenye sebule, chumba cha kulala, jiko, ofisi, choo na bafu.
Je, kwa idadi ya hivo vyumba nahitaji makontena mangapi na ningependa kujua gharama za kontena moja?
Asanteni!!!
Anatoa bei ya miaka 7 iliyopita2ml labda kama ni container la MDF 😁😁😁 yani hio bei hata container chakavu la 20Ft huwezi kulipata