ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
"Tunatoana roho yarabiii iii,,, kwa mali aliyoacha baba ahaaaaa"x2 Ngurumo alikuwa genius sema siifahamu vizuri hii nyimbo... hebu ongeza mistari mingine kama unaifahamu!
Mali ya baba inatutoa roho,bora nikae pembeni.Niinusuru roho yangu mimi.