ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
"Tunatoana roho yarabiii iii,,, kwa mali aliyoacha baba ahaaaaa"x2 Ngurumo alikuwa genius sema siifahamu vizuri hii nyimbo... hebu ongeza mistari mingine kama unaifahamu!
Duh... kweli aisee... kwahiyo hao washikaji inaelekea wote wamekaza hakuna anayetaka kukaa pembeni!Mali ya baba inatutoa roho,bora nikae pembeni.Niinusuru roho yangu mimi.
Duh... kweli aisee... kwahiyo hao washikaji inaelekea wote wamekaza hakuna anayetaka kukaa pembeni!
Binadam siku hizi hawana .....
Wakisikia mwenye mali mahututi
Utakuta wanaanza kuuza mali
Hata watoto wake wanaanza kuadhilika. By gurumo.
Nadhani kwa kupitia ubeti huu ndo maana watoto wameamua kuuza fasta ili ndugu wasiwawahi
Yaaani wameuza hela nyingi ni laki 4
Vikao vya familia watakuwa wanafanyia bar baada ya kuuza nyumba eehh akili zingine zimechanganyika na udongo wa mfinyanzi
Kwani hujui kama ni wazaramo hawa?