CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
Wakuu naomba kuelimishwa kuhusu hili neno"NYUMBA YA MILELE"kwa nijuavyo mimi maana ya milele ni kudumu,sasa maana ya nyumba ya milele ni nyumba ya kudumu,but ktk elimu na imani za dini zinasema tutafufuliwa na kusimamishwa ktk mahakama ya bwana,sasa kwa kama ipo siku tutafufuliwa iweje KABURINI kuitwa nyumba ya milele?maana hatujui siku ya kiama ni lini,vipi ukizikwa asubuhi alafu kiama ikashuka jioni jee utakua umeishi KABURINI milele?au tunaosema ni nyumba ya milele hatuuamini ufufuo na siku ya kufufuliwa na kusimamishwa ktk mahakama ya M/mungu?
Need comments za kunielimisha pls:
Need comments za kunielimisha pls: