FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Hii imetokea nchini Malawi ambapo inadaiwa Mnyarwanda mmoja aishie nchini humo na ambae ni tajiri aliejenge jumba kubwa mjini humo, alikuwa akiua watu hususani wanaume na kuwanyofoa sehemu zao za siri na kuzipeleke South Africa.
Sasa amesanukiwa akakamatwa alipobanwa amesema kilakitu na kwenda kuonesha makaburi ya miili aliyokuwa akiizika na yalipofukuliwa ilikutwa mili saba.Ambapo alikuwa akiifukia kwenye eneo la nyumba yale lakini kila mwili aliuzika kwenye shimo lake.
Tukio hilo limeamsha hasira za wananchi wamalawi wakaandamana mji mzima na kwenda kuichoma moto na kuibomoa nyumba hiyo.