Huo ni mpango wa Mungu, ndio ajue CCM ni chama cha kishetani, amepata pigo tofauti kidogo na la Marlaw.
Huo ni mpango wa Mungu, ndio ajue CCM ni chama cha kishetani, amepata pigo tofauti kidogo na la Marlaw.
dada nifah vipi tena mbona jazba?
dada nifah vipi tena mbona jazba?
Nyumba ya msanii Batuli yaungua moto akiwa kwenye uzinduzi wa kampeni, hata hivo hakuna mtu yeyeto aliyepoteza maisha isipokuwa hakuambulia kitu chochote.
Hahahaaaaa, kumbe nakuchoma roho sana eeh?
Na jiandae maana nitakuunguza hadi ubaki majivu kabisa.
Ccm watamjengea