Nyumba ya msanii Batuli yaungua moto

Nyumba ya msanii Batuli yaungua moto

11kw

Member
Joined
Jan 2, 2014
Posts
27
Reaction score
6
Nyumba ya msanii Batuli aka Cleopatra yaungua moto akiwa kwenye uzinduzi wa kampeni. Hata hivyo hakuna mtu yeyote aliyepoteza maisha isipokuwa hakuambulia kitu chochote.

========

batuli.jpg
Msanii wa filamu nchini, Yobnesh Yusuph (Batuli)
Batuli-nyumba.jpg
- Nyumba hii ipo maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es salaam
 
Huo ni mpango wa Mungu, ndio ajue CCM ni chama cha kishetani, amepata pigo tofauti kidogo na la Marlaw.
 
Jamani wandugu, Kutofautiana kiitikadi si ugomvu. Ni mawazo tu ya mtu na Iman yake juu ya kile anacho kiamini. Pole sana Batuli kwa tatizo kubwa na zito lililo kupata. Kumbukeni mungu hachajua wa kumshushia ghalika leo kwake kesho huenda ikawa kwako, Tusidharauliane. MUNGU WA MANYANI NDIO MUNGU WETU SISI.
 
Nyumba ya msanii Batuli yaungua moto akiwa kwenye uzinduzi wa kampeni, hata hivo hakuna mtu yeyeto aliyepoteza maisha isipokuwa hakuambulia kitu chochote.

Bado ya diamond mimi na ccm kama paka na panya.
 
Pole yako.

Pole yake.
Fire nao walikua kwenye kampeni.
 
MUNGU ANISAMEHE KWANZA KWA KUTAKA KUMCHEKA KISA TU POLITICAL INFLUENCE..NAKUOMBA Mungu wangu unaisamehe.Pili pole Batuli,lakini wasanii kuweni makini na hizi kazi mnazokubali kwa kifupi ni majaribu kwetu mashabiki
 
Back
Top Bottom