Huyo Mungu gani mkuu anayeunguza nyumba za watu?
Mungu wa wasanii wa Bongo muvi na Bongo fleva. Karma is a bitch.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Mungu gani mkuu anayeunguza nyumba za watu?
Bado ya diamond mimi na ccm kama paka na panya.
Bado ya diamond mimi na ccm kama paka na panya.
chama oyeeee!
Huyo Mungu gani mkuu anayeunguza nyumba za watu?
Huo ni mpango wa Mungu, ndio ajue CCM ni chama cha kishetani, amepata pigo tofauti kidogo na la Marlaw.
Hivi hawa wasaniii hizi nyumba wanazitoa wapi na kazi hawana
Jana alikuwa zake fiestan jangwan anaselebuka sijui wamemuahidi kumjengea nyingine