Nyumba ya msanii Batuli yaungua moto

Nyumba ya msanii Batuli yaungua moto

Hahaha aitoe wapi hiyo nyumba....wanauza sura show off nyingi....
Kuwa baba mama mwenye nyumba kwa bongo movie naona ni mwiko
Heeh ina maana hapo alikuwa mpangaji tu?
 
Nyumba ya muigizaji wa filamu, Batuli imetekea kwa moto. Nyumba hiyo ipo maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam
“Nilikuwa saluni najiandaa ili niende kwenye fainali za TMT ndipo nilipopigiwa simu na majirani majira ya saa tatu usiku kuwa nyumba yangu inaungua na imeteketea yote kwa moto,” Batuli aliiambia Clouds FM.
“Iliniuma sana vitu vilivyonusurika ni magari yangu tu mawili,” alisema kwa uchungu.
Aliongeza kuwa majirani walihisi chanzo cha moto huo kinaweza kuwa ni umeme. Hata hivyo hakuna aliyejeruhiwa.

Pyee angekua salon asingeoneka kwenye fiesta.
 
Aungue mara ngapi binamu? Hivi kuna kuungua kubaya kama kule kuungua kifua (nadhani umeshajua namaanisha nini).
Nimekumisije sasa?
 
Aungue mara ngapi binamu? Hivi kuna kuungua kubaya kama kule kuungua kifua (nadhani umeshajua namaanisha nini).
Nimekumisije sasa?

Tobaaa kumbe na yeye ndo wale wale?? Loh na alivyo bonge huwez hata mdhania, ndo wakome si wanapenda vya bure mxiewwww....mic u too binamu yaniiii
 
Tobaaa kumbe na yeye ndo wale wale?? Loh na alivyo bonge huwez hata mdhania, ndo wakome si wanapenda vya bure mxiewwww....mic u too binamu yaniiii

Wewe acha tu binamu, hizi ni habari za uhakika zisizo hata na chembe ya shaka.
Bibie anatumia minjingu pale alipo, tamaa ya maisha ndio inayopelekea yote hayo.
 
Pole yake asijali CCM watamjengea nyumbani nyingi maana huwa wanawajibika ktk mambo ya siyo na tija katika taifa.
 
Kaungua long time batuli,Hamna kitu hapo
 
Aungue mara ngapi binamu? Hivi kuna kuungua kubaya kama kule kuungua kifua (nadhani umeshajua namaanisha nini).
Nimekumisije sasa?

Duh Ahsante kwa kuniokoa Maana nilikuwa na mpango wa kuingia pale nilikuwa nishaanzisha mawasiliano kiana.
 
Duh Ahsante kwa kuniokoa Maana nilikuwa na mpango wa kuingia pale nilikuwa nishaanzisha mawasiliano kiana.

Ohooo! Hili mbona nimewahi kulisema sana huku?
Chukua tahadhari mkuu, maana una bahati baada ya 1st Sept haya mambo hatutaweza tena kuyajadili.
 
Wewe acha tu binamu, hizi ni habari za uhakika zisizo hata na chembe ya shaka.
Bibie anatumia minjingu pale alipo, tamaa ya maisha ndio inayopelekea yote hayo.

Hakaf ukimuona utadhan anasingiziwa umalaya
 
Nyumba imeungua na ccm imepoteza dira. Now children, this is what so called bad luck because of stupidity
 
Back
Top Bottom