tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Aungue mara ngapi binamu? Hivi kuna kuungua kubaya kama kule kuungua kifua (nadhani umeshajua namaanisha nini).
Nimekumisije sasa?
Wewe nifah inamaana kidonda kimeingia nzi kitambo nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aungue mara ngapi binamu? Hivi kuna kuungua kubaya kama kule kuungua kifua (nadhani umeshajua namaanisha nini).
Nimekumisije sasa?
Wewe nifah inamaana kidonda kimeingia nzi kitambo nini
Best usije kuingia hapo, bado tunakuhitaji.
Hahaaa mimi nakula kwa macho 2.....mbna cjakuona leo kwenye mkutano wa bawacha
Batuli kahamia kwa Wema.
Anavaa sare sare.