Nyumba ya Mwalimu Julius Nyerere Maduka Sita, Magomeni

Chizzo,

Nakukamilishia picha yako.


 
Msanii hii nyumba haipo imevunjwa kuna jengo linaitwa Watumishi House.
Haya ndo makosa tunayoyafanya Tanzania.

Kitengo cha mambo ya Kale kipo wapi kulinda hizi historical relics zetu?

Shame
 
[emoji23]
Mwalimu baada ya kutoka UNO mwaka wa 1955

Hapa unamaanisha ile uno ya Harmonize [emoji848][emoji848]

Pamoja na hayo, Asante kwa historia mujara maana kumbe UNO kitambo sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzee nashukuru kwa maelezo mazuri. Asante kwa kuendelea kutujuza mengi Mungu aendelee kukujaaria afya njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…