Mlatino Zeshalo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,130
- 3,599
Mkuu hiyo hela bora uagize crown athlete utambe mjini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
21M hapo ni skeleton la nyumba ikowemo ushapaua apo tayar.
Ukianza kubadili lugha uwe n 21M nyingine ili uhamie
Kibaha sio mkoa. Tuwe tunajibu maswali. Mkoa ni pwaniKibaha
Unaj3nga nyumbani wakti tunasema maisha ni safari..🟤🟤 acha tusubr mafao ya kustaafu ndio tujenge
- Habari wajenzi
Mwaka huu nimefeli kuanza ujenz(na kutizma lengo) lakn panapomajaliw mwakan Natumain jambo langu hii nitalifaniksha
Ujenz ni :- Nyumba ya vyuma 3 + /master bedroom na single room 2 + public toilet ndani, na sehemu ya kula
Location :- WILAYAN KIBAHA (AROUND MITAA YA HALMASHAUR YA WILAYA YA KIBAHA
BAJET :- 21.9
Uwanja tayar nishaulipia.
NAOMBA SIMPLE BREAK DOWN YA HIKO KIASI NAWEZ FANYA UJENZ NA KUKAMILISHA KWA ASILIMIA NGAPI.
Naomba tusi complicated sana ni nyumba ya upauaji wa kawaida. Nko mezan nasubr data zenuView attachment 2810407