Nyumba ya room 3, million 21.9

Kwa hela yako na eneo ulilopo unaweza kufika mbali...mm nimetumia 18ml kwa vyumba viwili vya kulala masterbedroom,dining,jiko store hadi kupaua ila nasisitiza uwe msimamizi kupe...mm hadi udongo waliokuwa wanakazia tofali ukianguka chini nauzoa ukiwa bado mbichi unachanganywa na ule mwingne[emoji23]...kwa hela yako unafika mbali coz unavyoendelea na ujenzi si bado utakuwa unapambana unaingiza hela
 
Upo sahihi mkuu kwa hela yake atafika hadi stage ya kupaua na ikiwezekana anaweza weka na magrill kabsa..ila ukishaanza kubadili lugha mara gysum,skimming,brandering hvyo vipengele vingne
21M hapo ni skeleton la nyumba ikowemo ushapaua apo tayar.

Ukianza kubadili lugha uwe n 21M nyingine ili uhamie
 
Hujasema sq meter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…