Nyumba ya Serikali yenye thamani ya Sh 1.2 bilioni yauzwa kwa mfanyabiashara kwa Milioni 130. Waziri Lukuvi alia na watendaji, amkabidhi DCI

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri wa Ardhi Mh Lukuvi amemtaka Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai kuwashughulikia watendaji wa NHC na NIC waliouza kifisadi nyumba mbili za Serikali kinyume cha utaratibu.

Naye DCI amemhakikishia Waziri Lukuvi kuwa atalishughulikia suala hilo kwa haraka na kuhakikisha nyumba hizo mbili zinarudi serikalini.

Source: ITV Habari
 
Hapo itakuwa walinunua wasiohitajika, nchi za Afrika tuna matatizo sana
 
Hakuuza peke yake ujuee

Sent using Jamii Forums mobile app

..tunapozungumzia uuzwaji wa nyumba za serikali yeye ndiye FISADI MKUBWA kuliko wote.

..tena alidanganya bungeni kuwa serikali itapata faida na mapato ya kujenga nyumba nyingi zaidi.

..na alisimamia uuzwaji wa nyumba za serikali nchi nzima kwa bei ya kutupa / hasara.
 

Mkuu, sauti yako unayopaza ni ya maana sana lakini sio kwa Afrika yetu na Watu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…