Nyumba ya Serikali yenye thamani ya Sh 1.2 bilioni yauzwa kwa mfanyabiashara kwa Milioni 130. Waziri Lukuvi alia na watendaji, amkabidhi DCI

Nyumba ya Serikali yenye thamani ya Sh 1.2 bilioni yauzwa kwa mfanyabiashara kwa Milioni 130. Waziri Lukuvi alia na watendaji, amkabidhi DCI

wamuache tu mbona kuna waliofanya wizi mkubwa tuko nao hapa magogoni
Lukuvi kabla ya yote atoe kibanzi toka jichoni kwake kwanza; yeye Lukuvi ile nyumba ya serikali aliinunua kwa bei halali? Zaidi ya yote Lukuvi pale Iringa kwa Kukiuka taratibu amejikatia Kiwanja na kujenga kwenye kiwanja cha serikali kwenye eneo la nyumba ya mkuu wa mkoa!!!
 
Magufuli aliagizwa na Rais Ben hakuamua yeye
Unapoagizwa kufanya jambo lisilo sahihi na mkubwa wako unachopaswa kufanya ni kujiuzuru nafasi hiyo mara moja kuonesha uadilifu wako.

Badly Bwana huyu hakuonesha huo uadilifu wako kwa kuyapenda zaidi madaraka na kusimamia dhulma.
 
Back
Top Bottom