Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Mada iliyoko mezani si ni nyumba za serikali kuuzwa kwa bei ya kutupwa? Wee unaona vizuri mahawara kugawiwa nyumba zetu kama njugu? Nakuuliza wewe chiroptera na duck billed platypus
Mmenikumbusha mbali sana ila bahati mbaya watu hawaoni tu.......serikali yenyewe ikitaka kuchukua maeneo ya watu kwa maslahi ya Taifa unakuta inalalia bei ambapo nyumba ya milioni 120,000 mtu anapewa milioni 40,000..Nyumba alizouza Magufuli ziliuzwa bei gani na zilikuwa na thamani gani?
..UFISADI uliofanyika hapo hauna tofauti na ufisadi aliofanya Magufuli wakati akiwa waziri wa ujenzi.
NDIYO SILAHA MLIYOBAKISHA YA KUNYAMAZISHA WATU WASIHOJI? Kesi zenu za uhujumu uchumi na utakatishaji wa fedha mmethibitisha ngapi hadi sasa?Mna bahati mko na fake id, otherwise ungeshikwa uende Ku prove your allegations mahakamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena ule ulikuwa zaidi! Waache mikwara hawa watu..Nyumba alizouza Magufuli ziliuzwa bei gani na zilikuwa na thamani gani?
..UFISADI uliofanyika hapo hauna tofauti na ufisadi aliofanya Magufuli wakati akiwa waziri wa ujenzi.
Mna bahati mko na fake id, otherwise ungeshikwa uende Ku prove your allegations mahakamani
Sent using Jamii Forums mobile app
So wanaosumbuliwa Sasa ni haki yao?..mnapenda sana kudeka. Kila kitu mnakimbilia kuita polisi na kutumia mahakama vibaya.
..waandishi wa Rai waliomlipua hawakuandika kwa fake id kwanini hamuwapeleki mahakamani?
..hii habari ni kweli, na amehusika ndiyo maana unaona amekaa kimya. Angekuwa hahusiki angewasumbua sana wahusika.
Kisu kimegusa mfupaYa magari yametoka wapi? Tunajadili nyumba!
NB.Unaweza chafua kinyesi?
Jibu swali:unaweza chafua kinyesi? Kila mkikosa hoja inakuwa "wanamchafua".Kisu ku
Kisu kimegusa mfupa
Ofcoz unaondoa hizo hoja, kama ni mkuu wake alimwambia uza hizo nyumba, angekataa?..kilichotokea ni UFISADI.
..chini ya usimamizi wake serikali iliingia HASARA.
..madai kwamba alipewa maagizo au ulikuwa uamuzi wa pamoja, haondoi hoja hizo mbili hapo juu.
Ukituhumu mtu, lazima ukathibitishe mahakamani budaNDIYO SILAHA MLIYOBAKISHA YA KUNYAMAZISHA WATU WASIHOJI? Kesi zenu za uhujumu uchumi na utakatishaji wa fedha mmethibitisha ngapi hadi sasa?
Watuhumiwa wa "uchochezi, uhujumu uchumi na utakatishaji wa fedha" mawakili wa sirikali wamethibitisha wangapi? Maana mahakama zenu,DPP wenu,TISS nyie,policcm wenu,.....!Mbona hatuoni mrejesho? Badala yake imebaki vitisho "mtu akipotea vyombo vya dola visihusishwe,mtakamatwa!!!!! Ovyoooo.
Ofcoz unaondoa hizo hoja, kama Ni mkuu wake alimwambia uza hizo nyumba, angekataa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ufisadi na hasara kivipi, unajua gharama alizouzia hizo nyumba? Na hiyo hela ilitumikaje...haiondoi hoja kwamba ni UFISADI.
..na haiondoi hoja kwamba ameiingizia serikali HASARA.
Lukuvu asilete Ubabaishaji, Nyumba alizouza AKALI MAGU Masaki na Oysterbay kwa mili 6 hadi 10 mbona hazizungumzii?..Nyumba alizouza Magufuli ziliuzwa bei gani na zilikuwa na thamani gani?
..UFISADI uliofanyika hapo hauna tofauti na ufisadi aliofanya Magufuli wakati akiwa waziri wa ujenzi.
Wamethibitisha wangapi? Uniambie wewe much know, ni wangapi walothibitisha. Maana nyinyi mnajuaga kila kitu.Watuhumiwa wa "uchochezi,uhujumu uchumi na utakatishaji wa fedha" mawakili wa sirikali wamethibitisha wangapi? Maana mahakama zenu,DPP wenu,TISS nyie,policcm wenu,.....!Mbona hatuoni mrejesho? Badala yake imebaki vitisho "mtu akipotea vyombo vya dola visihusishwe,mtakamatwa!!!!! Ovyoooo.
Alafu we jamaa ulikuwa pro Kikwete's government, I wonder now. Lazima Kuna mirija imebanwa na magu ndio maana umekuwa bitter nae sana. Won't change shit though, 2020 anapita kwa kura mob kushinda jk wako...haiondoi hoja kwamba ni UFISADI.
..na haiondoi hoja kwamba ameiingizia serikali HASARA.