Nyumba ya vyumba 3 inapatikana Masaki. Kodi ni USD 1600

Nyumba ya vyumba 3 inapatikana Masaki. Kodi ni USD 1600

Joined
Apr 10, 2025
Posts
40
Reaction score
44
Spacious 3 Bedroom Available For Rent Fully Furnished

Location: Masaki

Rent : $1,600 per Month
Payment terms : 6 Months in Advanced

🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717

kisuka.real.estate-20250508-0002.jpg




Polish_20250508_030948109.jpg



kisuka.real.estate-20250508-0010.jpg



kisuka.real.estate-20250508-0011.jpg


kisuka.real.estate-20250508-0006.jpg
kisuka.real.estate-20250508-0008.jpg




kisuka.real.estate-20250508-0009.jpg



kisuka.real.estate-20250508-0007.jpg



kisuka.real.estate-20250508-0005.jpg
 

Attachments

  • kisuka.real.estate-20250508-0004.jpg
    kisuka.real.estate-20250508-0004.jpg
    46.6 KB · Views: 34
  • kisuka.real.estate-20250508-0003.jpg
    kisuka.real.estate-20250508-0003.jpg
    66.2 KB · Views: 38
  • kisuka.real.estate-20250508-0002.jpg
    kisuka.real.estate-20250508-0002.jpg
    122.2 KB · Views: 42
  • kisuka.real.estate-20250508-0001.jpg
    kisuka.real.estate-20250508-0001.jpg
    120.3 KB · Views: 41
Ufisadi unaaribu uchumi.

Rent kama hizi ni possible kwa sababu moja tu.

Kuna hela nyingi sana zinaingia kwenye mzunguko kirahisi bila ya uzalishaji.

Haya mambo yalikuwepo enzi za JK, yakapotea kipindi cha Magufuli.

Leo yamerudi tena, ufisadi ni cause of inflation, unatengeneza artificial economy on supply on demand.
Umasikini na jiso la husuda limekujaa!!!! Acha roho ya uchawi.kama huna huna
 
Mwigulu si amekataza malipo Kwa Dola acha niwaripot BOT
 
Spacious 3 Bedroom Available For Rent Fully Furnished

Location: Masaki

Rent : $1,600 per Month
Payment terms : 6 Months in Advanced

🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717

View attachment 3327461
Mkuu tafuta forum nyingine ya biashara, siyo hapa kwa wanasiasa.
Wengi humu ni wa Mbagala kibonde Maji, Tegeta Nyuki, Manzese kwa Mfuga Mbwa na Chanika.
 
Baada ya miaka mitano kutakuwa kama kariakoo tu na hata bei ya pango itashuka.
Walio kulia Kariakoo pia wengi wamesha hama.

Dar Eś Salaam ni kamji kadogo sana.

Wenyeji washasogea wamewaachia waluga luga.
 
1746681918714.png


1746681971458.png


Kodi ya Tsh 4,355,200 kwa mwezi kwa huu ujinga?? hiyo Air condition ni gold plated au??
 
Kwa masaki nyumba ya vyumba vitatu kwa Bei hiyo Ni ndogo Sana.. single bedrooms ndio Bei hiyo..
 
Ni masaki mkuu kiwanja tu si chini ya usd 1m cha chini kabisa halafu unataka bei iwe kama sinza?
Hao hawajui kiasi gani real estate business dar ilivyo ya kishamba,.mwananyamala tu nyumba Kali vyumba viwili unaambia 1m like what the f..wachovu tuhamie Goba tu,salasala,mbezi beach ya chini,
 
Back
Top Bottom