Dalali wa kimataifa
Member
- Apr 10, 2025
- 40
- 44
Umasikini na jiso la husuda limekujaa!!!! Acha roho ya uchawi.kama huna hunaUfisadi unaaribu uchumi.
Rent kama hizi ni possible kwa sababu moja tu.
Kuna hela nyingi sana zinaingia kwenye mzunguko kirahisi bila ya uzalishaji.
Haya mambo yalikuwepo enzi za JK, yakapotea kipindi cha Magufuli.
Leo yamerudi tena, ufisadi ni cause of inflation, unatengeneza artificial economy on supply on demand.
Mkuu tafuta forum nyingine ya biashara, siyo hapa kwa wanasiasa.Spacious 3 Bedroom Available For Rent Fully Furnished
Location: Masaki
Rent : $1,600 per Month
Payment terms : 6 Months in Advanced
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
View attachment 3327461
Baada ya miaka mitano kutakuwa kama kariakoo tu na hata bei ya pango itashuka.Masaki maghorofa yanamea kama uyoga.
Walio kulia Kariakoo pia wengi wamesha hama.Baada ya miaka mitano kutakuwa kama kariakoo tu na hata bei ya pango itashuka.
HIo bei n pamoja na kusafisha dhambi??Spacious 3 Bedroom Available For Rent Fully Furnished
Location: Masaki
Rent : $1,600 per Month
Payment terms : 6 Months in Advanced
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
View attachment 3327461
View attachment 3327462
View attachment 3327463
View attachment 3327464
View attachment 3327465View attachment 3327466
View attachment 3327467
View attachment 3327468
View attachment 3327469
Siyo kweliBaada ya miaka mitano kutakuwa kama kariakoo tu na hata bei ya pango itashuka.
Kwa masaki 3 bedroom Bei hiyo bado ndogo,Bei hizo za mikocheni.. masaki single bedroom ndio USD 1500View attachment 3327547
View attachment 3327548
Kodi ya Tsh 4,355,200 kwa mwezi kwa huu ujinga?? hiyo Air condition ni gold plated au??
Ni masaki mkuu kiwanja tu si chini ya usd 1m cha chini kabisa halafu unataka bei iwe kama sinza?View attachment 3327547
View attachment 3327548
Kodi ya Tsh 4,355,200 kwa mwezi kwa huu ujinga?? hiyo Air condition ni gold plated au??
Hao hawajui kiasi gani real estate business dar ilivyo ya kishamba,.mwananyamala tu nyumba Kali vyumba viwili unaambia 1m like what the f..wachovu tuhamie Goba tu,salasala,mbezi beach ya chini,Ni masaki mkuu kiwanja tu si chini ya usd 1m cha chini kabisa halafu unataka bei iwe kama sinza?