Nyumba yangu imegeuzwa kuwa pango la wezi

Nyumba yangu imegeuzwa kuwa pango la wezi

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Yesu alisema,"Vipi Hekalu limegeuzwa kuwa pango la wezi na wanyang'anyi?"

Kwa wale ambao sio Wakristu tuseme kwamba Yesu akawaona wati wanafanya dili nyingi za pesa.

Akasema,"Baba yangu aliamuru hii iwe nyumba ya sala, lakini mmeibadili kuwa pango la wezi"

Ndio tunajiuliza serikali imekuwa vipi siku hizi?

Ripoti ya CAG inaoshenya jela zinaibiwa au zinafujwa.

Corruption katika utendaji kazi wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Ni wajibu wa kila raia kuhakikisha kwamba serikali haitunyang'anyi uhuru wetu.

Ni nani sijui yule alisema,sijui wale Wagiriki wa zamani (akina Socrates), sijjui nani,alisema:

"Kama wananchi wenye hasira hawawezi kuingia mitaani kuiondoa serikali ambayo haiwapendezi,basi hiyo siyo government of the prople, by the prople, for the people.
 
Mtoto wa mwalimu analalamika hii nchi hii 😊😊😊
 
Mtoto wa mwalimu analalamika hii nchi hii 😊😊😊
Halalamiki,

Anapaza sauti ya HAKI, sauti hiyo itawafikia Watz wote.

Na kabla hata wananchi hawajainuka, Mungu atajibu.

Tusubiri.
 
Back
Top Bottom