Nyumba yenye flame za biashara inauzwa maeneo ya kinondoni

Nyumba yenye flame za biashara inauzwa maeneo ya kinondoni

Joined
Jun 11, 2011
Posts
83
Reaction score
49
Habari great thinkers, Nyumba yenye flem
za biashara inauzwa ipo maeneo ya kinondoni B mkabala kabisa na kituo cha mwendokasi
SIFA ZA NYUMBA
-Ina hati miliki halali
-Ina flame saba (7) za biashara,
-Ina vyumba sita
-Nyumba ipo eneo la biashara
Bei ni maelewano Kwa mawasiliano zaidi piga +255753858259, +255712928392, +255658083460 (RECOVERY OFFICERS - TAMBAZA AUCTION MART AND GENERAL BROKER
IMG_20190205_131153.jpg
IMG_20190205_131158.jpg
IMG_20190205_131236.jpg
IMG_20190205_131247.jpg
IMG_20190205_131254.jpg
IMG_20190205_131804.jpg
 
Kama bei haivuki 200m naomba uje pm ila kama inavuka usije bos[emoji120]
 
Habari great thinkers, Nyumba yenye flame za biashara inauzwa ipo maeneo ya kinondoni B mkabala kabisa na kituo cha mwendokasi
SIFA ZA NYUMBA
-Ina hati miliki halali
-Ina flame saba (7) za biashara,
-Ina vyumba sita
-Nyumba ipo eneo la biashara
Bei ni maelewano Kwa mawasiliano zaidi piga +255753858259, +255712928392, +255658083460 (RECOVERY OFFICERS - TAMBAZA AUCTION MART AND GENERAL BROKER
Ungeandika kiswahili tu,
"Flame" haina maana hiyo uliomaanisha wewe
 
Back
Top Bottom