House4Sale Nyumba yenye hati inauzwa Kimara Matosa kwa bei ya maelewano

House4Sale Nyumba yenye hati inauzwa Kimara Matosa kwa bei ya maelewano

mmewadadako

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2019
Posts
534
Reaction score
844
-Nyumba ipo kimara matosa njia panda ya Kimara na Matosa. Ni eneo lililotulia lisilo na kelele kwa ajili ya kujipumzisha na familia ukitoka kwenye mihangaiko ya siku nzima

-Nyumba ina vyumba 3 kimoja master,sebule,dinning,jiko na public water closet(toilet).

-Ina fense, perving blocks na garden ya kuvutia

-Ukubwa wa kiwanja ni square meter 600 ( 20 kwa 30).

-Nyumba ina hati hatimiliki.

Bei: makubaliano ya mteja na mwenye nyumba (uwezo wako wa kubargain tu )

mawasiliano: 0765494548/0755079111

IMG-20201230-WA0000.jpeg
IMG-20201230-WA0007.jpeg
IMG-20201230-WA0005.jpeg
IMG-20201230-WA0004.jpeg
IMG-20201230-WA0001.jpeg
IMG-20201230-WA0002.jpeg
IMG-20201230-WA0006.jpeg
IMG-20201230-WA0003.jpeg
 
Mkuu ukileta biashara ni vizuri kuweka na bei kianzio. Hilo eneo ulilotaja hebu taja la jirani lililozoeleka. Ni pageni hapo. Namba ukizotoa ni za kwako au za mmiliki Nyumba?
Ukiwa unatokea mjini ukifika kimara temboni unakunja upande wa kulia kuna barabara kubwa ambayo inatokea goba..kutoka morogoro road(kimara temboni) hadi kwenye nyumba ni almost kama km 2.5
 
Back
Top Bottom