EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Du nimeielewa sana house japo maskini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ShukraniUkiwa unatokea mjini ukifika kimara temboni unakunja upande wa kulia kuna barabara kubwa ambayo inatokea goba..kutoka morogoro road(kimara temboni) hadi kwenye nyumba ni almost kama km 2.5
Mimi niliaambiwa na dalali mmoja kuwa inauzwa 80m na maongezi yapo. Mwingine alisema 90m na mwingine 95m. Madalali kuweni macho dunia ni kijiji sasa. Kuna moja iko wazo kuna dalali alisema 130m, mwingine 140m, mwingine 100m mpaka 80m na maongezi yapo. DaahhhHii nyumba nimeiona kwa dalali flani huko insta inauzwa 95m.
Weka beiNyumba nyingine hii ya Kisasa inauzwa Madale kwa Mkwawa
-Ina vyumba vitatu vyote master,sebule ya kisasa yenye finishing ya kuvutia,dinning,jiko,stoo na public toilet
-Ukubwa wa kiwanja ni sqm 1500s (40 kwa 38)
- finishing ya kisasa kabisa
-Garden
-Ukuta na fensi
mawasiliano : 0755079111/0765494648View attachment 1667760View attachment 1667761View attachment 1667762View attachment 1667763View attachment 1667764View attachment 1667765View attachment 1667766View attachment 1667768View attachment 1667769
Mkuu ndo maana nilisema bei halisi anayo muuzaji na utaikuta huko...hizo nyingine ni mbwembwe za ligi tu.Mi nakupeleka kwa muhusika atakutajia bei yeye mwenywewe ukishaona nyumbaMimi niliaambiwa na dalali mmoja kuwa inauzwa 80m na maongezi yapo. Mwingine alisema 90m na mwingine 95m. Madalali kuweni macho dunia ni kijiji sasa. Kuna moja iko wazo kuna dalali alisema 130m, mwingine 140m, mwingine 100m mpaka 80m na maongezi yapo. Daahhh
Safi kabisa. Nimepiga simu iko busy sana na hiyo ya 0765 494648 anapokea mtu tofauti kabisa hajui mambo ya nyumba. Namba sikukosea kabisaMkuu ndo maana nilisema bei halisi anayo muuzaji na utaikuta huko...hizo nyingine ni mbwembwe za ligi tu.Mi nakupeleka kwa muhusika atakutajia bei yeye mwenywewe ukishaona nyumba
sorry mkuu hio no ya pili nmekosea kuiandika ni 0765 494548Safi kabisa. Nimepiga simu iko busy sana na hiyo ya 0765 494648 anapokea mtu tofauti kabisa hajui mambo ya nyumba. Namba sikukosea kabisa
Nzuri man-Nyumba ipo kimara matosa njia panda ya Kimara na Matosa. Ni eneo lililotulia lisilo na kelele kwa ajili ya kujipumzisha na familia ukitoka kwenye mihangaiko ya siku nzima
-Nyumba ina vyumba 3 kimoja master,sebule,dinning,jiko na public water closet(toilet).
-Ina fense, perving blocks na garden ya kuvutia
-Ukubwa wa kiwanja ni square meter 600 ( 20 kwa 30).
-Nyumba ina hati hatimiliki.
Bei: makubaliano ya mteja na mwenye nyumba (uwezo wako wa kubargain tu )
mawasiliano: 0765494548/0755079111
View attachment 1663142View attachment 1663143View attachment 1663144View attachment 1663145View attachment 1663146View attachment 1663147View attachment 1663148View attachment 1663149
Safi kabisa. Nimepiga simu iko busy sana na hiyo ya 0765 494648 anapokea mtu tofauti kabisa hajui mambo ya nyumba. Namba sikukosea kabisa