mmewadadako
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 534
- 844
Huyo fundi aliyefanya finishing ni hatari Sana !Daah nyumba nzuri sana aisee,
Mkuu nyumba sio yangu...mi ntakupeleka kwa muhusika mkanegotiate huko hukoMillioni 50 kama upo tayari hata kesho tunaandikishiana
Utapata usijali mamaNyumba nzuri mnoo basi tu pesa ndiyo tatizo[emoji848]
Amen 🙏Utapata usijali mama
Mkuu ukileta biashara ni vizuri kuweka na bei kianzio. Hilo eneo ulilotaja hebu taja la jirani lililozoeleka. Ni pageni hapo. Namba ukizotoa ni za kwako au za mmiliki Nyumba?nyumba ipo wakuu
Ukiwa unatokea mjini ukifika kimara temboni unakunja upande wa kulia kuna barabara kubwa ambayo inatokea goba..kutoka morogoro road(kimara temboni) hadi kwenye nyumba ni almost kama km 2.5Mkuu ukileta biashara ni vizuri kuweka na bei kianzio. Hilo eneo ulilotaja hebu taja la jirani lililozoeleka. Ni pageni hapo. Namba ukizotoa ni za kwako au za mmiliki Nyumba?
Vipi haina mauzauza
Inavutia kwa kweli
Hii nyumba nimeiona kwa dalali flani huko insta inauzwa 95m.