House4Sale Nyumba yenye hati inauzwa Kimara Matosa kwa bei ya maelewano

Ukiwa unatokea mjini ukifika kimara temboni unakunja upande wa kulia kuna barabara kubwa ambayo inatokea goba..kutoka morogoro road(kimara temboni) hadi kwenye nyumba ni almost kama km 2.5
Shukrani
 
Nyumba nyingine hii ya Kisasa inauzwa Madale kwa Mkwawa

-Ina vyumba vitatu vyote master,sebule ya kisasa yenye finishing ya kuvutia,dinning,jiko,stoo na public toilet

-Ukubwa wa kiwanja ni sqm 1500s (40 kwa 38)

- finishing ya kisasa kabisa

-Garden

-Ukuta na fensi

mawasiliano : 0755079111/0765494648
 
Hii nyumba nimeiona kwa dalali flani huko insta inauzwa 95m.
Mimi niliaambiwa na dalali mmoja kuwa inauzwa 80m na maongezi yapo. Mwingine alisema 90m na mwingine 95m. Madalali kuweni macho dunia ni kijiji sasa. Kuna moja iko wazo kuna dalali alisema 130m, mwingine 140m, mwingine 100m mpaka 80m na maongezi yapo. Daahhh
 
Weka bei
 
Mkuu ndo maana nilisema bei halisi anayo muuzaji na utaikuta huko...hizo nyingine ni mbwembwe za ligi tu.Mi nakupeleka kwa muhusika atakutajia bei yeye mwenywewe ukishaona nyumba
 
Mkuu ndo maana nilisema bei halisi anayo muuzaji na utaikuta huko...hizo nyingine ni mbwembwe za ligi tu.Mi nakupeleka kwa muhusika atakutajia bei yeye mwenywewe ukishaona nyumba
Safi kabisa. Nimepiga simu iko busy sana na hiyo ya 0765 494648 anapokea mtu tofauti kabisa hajui mambo ya nyumba. Namba sikukosea kabisa
 
Safi kabisa. Nimepiga simu iko busy sana na hiyo ya 0765 494648 anapokea mtu tofauti kabisa hajui mambo ya nyumba. Namba sikukosea kabisa
sorry mkuu hio no ya pili nmekosea kuiandika ni 0765 494548
 
Nzuri man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…