Plot4Sale Nyumba yenye kiwanja kikubwa inauzwa Tegeta

Plot4Sale Nyumba yenye kiwanja kikubwa inauzwa Tegeta

Msiri

Senior Member
Joined
Jan 10, 2010
Posts
116
Reaction score
95
Nyumba yenye kiwanja kikubwa inauzwa Tegeta kama ifuatavyo;

1. Nyumba in vyumba vitano
Vitatu vipo juu, kimoja ni master na viwili vipo chini na public toilet, sitting, kitchen and dining. Ipo mita 100 toka barabara ya Bagamoyo.
2. Kiwanja ni 4303 sq meter
3. Ina hati miliki.
4. Bei 900m. Maongezi yapo.
5. Mawasiliano: +255 742 957 797

IMG-20240822-WA0011.jpg
 
Huu Mjumba Utanifaa Sana.Nitakupigia Kukikucha,Upo Upande wa Kulia au Upande wa Kushoto? kama unaenda Bagamoyo?
 
Back
Top Bottom