bakari khalidi
Member
- Jul 11, 2015
- 7
- 5
picha ya hayo maduka?ARDHI YA THAMANI INAUZWA! π’π
Kiwanja chenye maduka 12 ya biashara, pamoja na nyumba ya kuishi, kikiwa kando ya barabara ya lami. Eneo bora kwa uwekezaji na biashara yenye kipato.
Muheshimiwa,ungeweka ukubwa wa eneo basi ili wateja wajenge picha vichwani mwao.Lina hati ya sirikale? Hakuna mgogoro na mtu au taasisi?NYUMBA YENYE MADUKA 12 INAUZWA KINONDONI ROAD BEI BILLION 3.5 (SQM 1343) PHONE:+255 719 377 649
ARDHI YA THAMANI INAUZWA! π’π
Kiwanja chenye maduka 12 ya biashara, pamoja na nyumba ya kuishi, kikiwa kando ya barabara ya lami. Eneo bora kwa uwekezaji na Hati safi .
Nimeweka Soma vizuri SQM 1343Muheshimiwa,ungeweka ukubwa wa eneo basi ili wateja wajenge picha vichwani mwao.Lina hati ya sirikale? Hakuna mgogoro na mtu au taasisi?
Vyotetunanunua maduka au nyumba mkuu
Oooh!Ma bad! Blurred the vision!Nimeweka Soma vizuri SQM 1343