Eliud Bunju
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 375
- 707
,dah 😂😂😂Tafuteni pa kuishi
Kimbia haraka sana kakate kadi ya CCM, nyumba hiyo wanaishi wapinzani.Naomba anayefahamu kuhusu maana ya X ya kijani ni Nini?
Maana hapo mwanzo mwaka 2006 nyumba yetu ilivunjwa sehemu yote ya mbele lkn safar hii wamekuja kuweka X ya Kijani. Nyumba yetu hipo barabara kuu eneo la riverside.
Sawa kakaRed ndio hakuna malipo.
Hela hioNaomba anayefahamu kuhusu maana ya X ya kijani ni Nini?
Maana hapo mwanzo mwaka 2006 nyumba yetu ilivunjwa sehemu yote ya mbele lkn safar hii wamekuja kuweka X ya Kijani. Nyumba yetu hipo barabara kuu eneo la riverside.
X ya kijani? Mpiga kura wa ccm?Naomba anayefahamu kuhusu maana ya X ya kijani ni Nini?