Nyumba za ibada ndizo sehemu zinazoongoza kwa upigaji

Joshua Mbezi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
1,994
Reaction score
4,446
Ukiachana na serikali kwenye makusanyo ya hela sehemu nyingne wanapokusanya hela nyingi ni nyumba za ibada , ( kanisan &misikitini)

Kama ilivyo serikalini kuwa na wadokozi wa hela ndivyo ilivyo kwa nyumba za ibada

Viongozi wengi wa dini ni wezi na wahujumu uchumi wa nchi pamoja na washirika wao

Hawa watu mfano KKKT , RC ,Sda, Anglican wameanzisha miradi mingi ya kielimu, afya, hotel, appatments nk lakini miradi hyo yote haiwasaidii washirika wao isipokuwa viongozi tu na familia zao

Usishingae mshirika kufa kwa kukosa hela ya matibabu huku ndani ya Jimbo lake kukiwa na hospital kubwa na inaendeshwa na kanisa lake

Usishangae mtoto wa mshirika kukosa ada ya kuendelea na elimu either ya juu au advanced lakini ndani ya ushirika au Jimbo lake Kuna shule kubwa tu na vyuo vinaendeshwa na vilijengwa kwa michango ya waumini wao

Viongozi wa dini hao wanaumwa wanalazwa kwenye hospital kubwa za kitaifa na kimataifa kwa sadaka za waumini wao lakini waumini wao wakiumwa kiongozi anaelekeza akaombewe Sala ya Toba ya mwisho

Huko kwenye jumuiya Hadi kwenye Vyama vya kitume zinachangwa sadaka na michango ya kila aina kupelekwa jimbon lakini ndani ya Jimbo Hilo Hilo Kuna waumin wao bado wanasalia kwenye makanisa yaliyochoka na yameezekwa kwa nyasi sasa hapo upendo tunaubiriwa unatusaidia Nini?

Ndani ya nyumba za ibada huwa kunatokea safari za kwenda nchi za mbali kama Denmark, USA , Italy, Saud Arabia nk

Na hizo safari mara nyingi huwa n za udhamin lakini kulingana na ubinafsi wa viongozi wa dini hzo safari uishia kuwanufaisha wao tu na familia zao na watu wa karibu

Ninyi washirika wa kawaida mnabaki kushangaa tu wenzenu wanakula mema ya Dunia

Ili kuthibitisha haya nisemayo piga picha kwenye Ile familia inapotekea padre, askofu, mchungaji sheikh nk utagundua kuwa uwa wanapambana vyeo walivyonavyo Leo vishikwe na watoto wao, au ndugu zao lengo kubwa na kufanya hivyo ni kuendeleza unyonyaji ata ikitokea mtu mwingne umetan kumtumikia Mungu kwenye nafasi kama ya padre, mchungaji,sheikh hao waun hawataruhusu upite watakuwekea mizengwe Hadi ukate tamaa mwenyewe

Mtu pekee anayeweza kupita vikwazo vyao ni yule aliyependwa sana na hao wachungaji, ma sheikh ma padre nje na hapo hutoboi kuikanyaga madhabahu

Labda utaikanyaga kwa kupiga kinanda, kupuliza saxophone au kuwa mzee wa kanisa na si vingine

Kwenye andiko hili nimejaribu kuzungumzia makanisa hasa Yale ya KKKT RC Sda Anglican churchs na misikiti kwa mbali

Sasa Kuna hili kundi la mitume, manabii, na makanisa kama TAG FPCT, PAG , Agape CAG hawa sasa ni wachoyo kupitiliza wao wanachofokas nacho ni kula sadaka ata uwekezaji mdogo unashinda wamekomaa kuwaibia watu

Ningekuwa kiongozi wa nchi sehemu ya kwanza kuhundiwa tume ni nyumba za ibada, kule Kuna wahuni wengi wanaifilisi nchi.
 
Watu wanatakatisha pesa huko.
 
Back
Top Bottom