Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Kwa mara ya kwanza umeandika kitu ambacho umeushirikisha ubongo.Tuwemakin kwa vyama vyote isije ikafikia Kama kongo drc kanisa katoliki lenye wafuasi wengi kuratibu maandamano dhidi ya serikali.
shehe ubwabwa anayezunguka na hao makafiri ndio anapiga marufuku? sisi tunasimama na Yesu, tuone nani mshindi.Kamati ya amani nchini inayoongozwa na Mwenyekiti wake na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa, imepiga marufuku makanisa na misikiti, kutumika kumfanyia kampeni mgombea yoyote wa chama cha siasa kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwanyima haki waumini wake.
Wametoa agizo hilo leo Septemba 26, 2020, jijini Dar es salaam, wakati wakizungumza na wandishi wa habari ambapo Mwenyekiti wa Kamati hiyo Sheikh Alhadi Mussa Salum, amesema kwa kufanya hivyo inawezekana ikawa chanzo cha kuvuruga amani ya nchi.
"Muacheni mtu akamchague kiongozi anayemtaka na sio wewe kiongozi wa dini fulani unatumia nyumba za ibada kama ni jukwaa la kisiasa"amesema mwenyekiti wa kamati hiyo Shekh Alhad Musa Salum.
Kushoto ni Mjumbe wa kamati ya amani nchini Sylvester Gamanywa, katikati ni Mwenyekiti wa kamati hiyo Sheikh Alhad Mussa na kulia ni Makamu Mwenyekiti George Fupe.
Amesema kama kila kiongozi wa dini ataamua kufanya hivyo amani ya nchi tunaweza kuivuruga hivyo amewataka viongozi dini kushirikiana katika kupinga kutumia nyumba za ibada kunadi sera zao.
Kwa asiyemjua Alhad Mussa alikuwa ni mvuta bangi mzuri tu maeneo ya Makadara. Bwawani hotel disco alikuwa havundi.
Kamati ya amani nchini inayoongozwa na Mwenyekiti wake na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa, imepiga marufuku makanisa na misikiti, kutumika kumfanyia kampeni mgombea yoyote wa chama cha siasa kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwanyima haki waumini wake.
Wametoa agizo hilo leo Septemba 26, 2020, jijini Dar es salaam, wakati wakizungumza na wandishi wa habari ambapo Mwenyekiti wa Kamati hiyo Sheikh Alhadi Mussa Salum, amesema kwa kufanya hivyo inawezekana ikawa chanzo cha kuvuruga amani ya nchi.
"Muacheni mtu akamchague kiongozi anayemtaka na sio wewe kiongozi wa dini fulani unatumia nyumba za ibada kama ni jukwaa la kisiasa"amesema mwenyekiti wa kamati hiyo Shekh Alhad Musa Salum.
Kushoto ni Mjumbe wa kamati ya amani nchini Sylvester Gamanywa, katikati ni Mwenyekiti wa kamati hiyo Sheikh Alhad Mussa na kulia ni Makamu Mwenyekiti George Fupe.
Amesema kama kila kiongozi wa dini ataamua kufanya hivyo amani ya nchi tunaweza kuivuruga hivyo amewataka viongozi dini kushirikiana katika kupinga kutumia nyumba za ibada kunadi sera zao.
Nakupongeza Sana , Sana Sheikh Alhad Mussa ! MUNGU akubariki Sana ! Wapo baadhi ya Maaskofu wanaanza kutumika vibaya ! Wanaanza kuwagawa Waumini kwa maslahi ya kisiasa ! Tupo nyakati za mwisho kabisa wa dunia ! Ajaye yupo karibu Sana kuliko tunavyofikiri ! Siasa zibaki nje ya Majengo ya Makanisa Na Misikiti .Kamati ya amani nchini inayoongozwa na Mwenyekiti wake na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa, imepiga marufuku makanisa na misikiti, kutumika kumfanyia kampeni mgombea yoyote wa chama cha siasa kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwanyima haki waumini wake.
Wametoa agizo hilo leo Septemba 26, 2020, jijini Dar es salaam, wakati wakizungumza na wandishi wa habari ambapo Mwenyekiti wa Kamati hiyo Sheikh Alhadi Mussa Salum, amesema kwa kufanya hivyo inawezekana ikawa chanzo cha kuvuruga amani ya nchi.
"Muacheni mtu akamchague kiongozi anayemtaka na sio wewe kiongozi wa dini fulani unatumia nyumba za ibada kama ni jukwaa la kisiasa"amesema mwenyekiti wa kamati hiyo Shekh Alhad Musa Salum.
Kushoto ni Mjumbe wa kamati ya amani nchini Sylvester Gamanywa, katikati ni Mwenyekiti wa kamati hiyo Sheikh Alhad Mussa na kulia ni Makamu Mwenyekiti George Fupe.
Amesema kama kila kiongozi wa dini ataamua kufanya hivyo amani ya nchi tunaweza kuivuruga hivyo amewataka viongozi dini kushirikiana katika kupinga kutumia nyumba za ibada kunadi sera zao.
Kwa asiyemjua Alhad Mussa alikuwa ni mvuta bangi mzuri tu maeneo ya Makadara. Bwawani hotel disco alikuwa havundi.
Binafsi nashangaa eti Dar Es salaam anaitwa shekhe!?
Unafiki mtupu!
Na wale wanaowapa wanasiasa nafasi ya kuongea madhabahuni ni lini tutawakemea?Nakupongeza Sana , Sana Sheikh Alhad Mussa ! MUNGU akubariki Sana ! Wapo baadhi ya Maaskofu wanaanza kutumika vibaya ! Wanaanza kuwagawa Waumini kwa maslahi ya kisiasa ! Tupo nyakati za mwisho kabisa wa dunia ! Ajaye yupo karibu Sana kuliko tunavyofikiri ! Siasa zibaki nje ya Majengo ya Makanisa Na Misikiti .