Uchaguzi 2020 Nyumba za ibada zapigwa marufuku kufanyia kampeni za wagombea

Ni makosa. Hapo hamna majadiliano.
Kama kila kasisi au Shehe ama maalimu ama Askofu atatumia jukwaa la kidini tutabaki na nchi kweli?
Mwingira You went overboard contrary to your calling If you have any.
 
Yaani watu wananyimwa democracy ya kucbagua wagombea na wagombea wMeenguliwa na tume ya uchafuzi wao wako kimya wakidhani walodhulumiwa ni wagombea. Kumbe wamedhulumu wananchi

Watu wa ajabu sana tena wachumia tumbo
 
ningekuwa mimi ndiye shehe Mussa ningekuwa nshaanza kujikomba kwa Lissu longi kitambo!
 
maono ya Nabii na Mtume Mingira yameanza kupenya kunako
Lengo haswa lilikuwa hapo lakini Sheikh kasahau kuwa hata yeye yumo
Huyu Shehe wakati Lissu anapigwa Risasi alikesha na Konyagi
 
Viongozi wa dini wataleta uasi maana wanasema na kukemea pale wanapoona ccm imebanwa wangejua hawana moral authority wangekaa kimya wanaoaminika ni mwanakula bagonza mwingira ponda na shoo
 
"Tundu Lissu is a victor"
Imeisha hiyo
#NI YEYE#
 
Wamkamate Lukuvi yule alieenda kueneza sumu kanisani na kuwacha kusemea ndani ya bunge,clipu ipo hadi leo WaZanzibari wanaionyesha sinema.
 
Gamanyw? Huyo mwana ccm pure.
 
Hahaha, hii kamati kwani ipo kisheria! Nashangaa Mjumbe Gamanywa huwa a nampigia Magufuli kampeni na pia anamiliki kiredio chake huwa hakitangazi kampeni za upinzani ni hotuba za kampeni za CCM tu, utafikir redio uhuru
 
Majibu yako yanahitimisha hoja yangu kuwa Jiwe ni muuaji.

Asante kwa kukiri!!
Uelewa wako unatia Shaka..usipende kutoa kauli Tata...ukikamatwa Leo na kuswekwa ndani watakaoumia ni familia na hasa watoto, make/mme na wazazi....unapofanya Jambo la hatari Kama Hilo la kumtuhumu Rais kwa Jambo zito Kama Hilo siku zote wafikirie watoto wako unawaachaje...Kama huna watoto au familia sawa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…