Nyumba za ibada zimegeuza muelekeo

Nyumba za ibada zimegeuza muelekeo

Mkuu na mimi leo katika ibada niliyoshiriki nimesikitika sana. Injili nyingi za sasa ni potofu na ziko kimaslahi zaidi. Leo ibada nzima ni ya wanawake kutokupewa vipaumbele kwenye uchumi, siasa, afya n.k eti hayo ndio mahubiri kabisaa. Wanaongeza mwanamme ndio chanzo cha yote hayo.
Kanisani hatufundishwi kukemea dhambi, rushwa, na kila aina ya uovu bali ni blah blah tu.
Hali hii inatisha na ni kupoteza mda tu.
Watu wafundishwe kumjua Mungu wa kweli kwanza na hayo mengine yatakuja
Kipofu akiongozwa na kipofu wote Waikiki wako katika hatari,
 
Back
Top Bottom